ETHIOPIA: Mugabe atoa Dola milioni 1 kwa AU zilizotokana na mauzo ya mifugo ya wakulima wa Zimbabwe

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,745
4,277
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ametoa hundi ya Dola za Kimarekani milioni 1 kwa mfuko wa Umoja wa Afrika(AU Foundation) katika kuchangia juhudi za kupunguza utegemezi wa Umoja huo kwa misaada ya nje.

Rais huyo mwenye miaka 93 alikabidhi rasmi hundi hiyo kwa Mwenyekiti wa Tume Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat kwenye Mkutano wa 29 wa wakuu wa nchi uliofanyika Addis Ababa.

Gazeti la Herald liliripoti kuwa pesa hiyo ilichangwa na wakulima wa Zimbabwe baada ya mauzo ya mifugo yao baada ya ombi la Rais Mugabe ili kusaidia Umoja wa Afrika kujiendesha wenyewe.

========
1024x576_376270.jpg

Zimbabwean president, Robert Mugabe, on Monday handed a cheque of $1 million to the African Union (A.U.) Foundation as part of efforts aimed at lessening the body’s dependence on foreign aid.

The 93-year-old formally handed over the cheque to the A.U. Commission (AUC) chairperson, Moussa Faki Mahamat, on the floor of the AU headquarters during the 29th Heads of State summit in the Ethiopian capital, Addis Ababa.

The state-owned Herald newspaper reported that the amount had been raised from the sale of cattle donated by Zimbabwean farmers following an appeal by Mugabe to help the A.U. self fund its operations.

‘‘As a farmer and an African, donating cattle which is a sign of wealth, comes naturally,’‘ Mugabe said during the donation.

The issue of financing its own activities has been prominent in the A.U’s recent agenda. It came up strongly a year ago during the 27th Assembly of Heads of State and Government in Rwanda.

Even though the Kigali summit was under the theme: “2016: Year of Human Rights with a particular focus on the Rights of Women,” it’s main highlight was the launch of the African passport and the continent’s resolve to fund its own activities in the immediate short term.

Zimbabwe has its own share of economic issues stemming from sanctions by western governments – which Harare continually accuses of strangling the southern African country economically.

An acute shortage of cash has not helped matters as the central bank moved to introduce bond notes to cure the shortage. A biting drought left hundreds without food leading the government in March 2017 to appeal for $100 million in aid.

Despite these challenges, the government announced a reprieve in mid-July with a ban on grain imports into the country. The government announced that it had produced enough food to feed itself a year after the devastating drought.

“Government stopped issuing Grain Import permits about four months ago and no maize imports are allowed at our borders,” Deputy Agriculture Minister Davis Marapira was quoted as saying.

Source:
Africanews
 
Nchini kwake matatizo kibao,leo anaisaidia AU? Nilichofurahia hii habari ni hiyo picha, kuna kifaa kina usafiri wa kufa mtu
kidogo kula na ndugu yako,kusaidiana ni heri kuliko kuwasubiri bepari asaidie,kwani kwako ukiwa na chakula kidogo huwezi kumsaidia jirani aliyekaribu kukata roho kwa njaa? by the way 2008 sio leo ebu tutajie hayo matatizo kibao yaliyopo nchini zimbabwe.
GDP - Countries - List | Africa
 
GDP - Countries - List | Africa[Nathason2umeisoma , umeisoma
kidogo kula na ndugu yako,kusaidiana ni heri kuliko kuwasubiri bepari asaidie,kwani kwako ukiwa na chakula kidogo huwezi kumsaidia jirani aliyekaribu kukata roho kwa njaa? by the way 2008 sio leo ebu tutajie hayo matatizo kibao yaliyopo nchini zimbabwe.
GDP - Countries - List | Africa
Nathason2 iisome hiyo habari kabla ya kujibu kwa gadhabu, halafu hiyo GDP bongo unaiamini kweli?
 
Duh jamani kwenye picha hicho kifaa chenye huo mguuu hapa kwetu wanapatikana kweli hongera Mugabe!!!
 
Mzee kafikia mwisho wa kufikiri. Hiyo hela c bora angeliitumia kutatua matatizo lukuki kwa wananchi wake?
 
Nchini kwake matatizo kibao,leo anaisaidia AU? Nilichofurahia hii habari ni hiyo picha, kuna kifaa kina usafiri wa kufa mtu
Aliyekuambia Zimbabwe kuna shida nani? Umesikia wamekufa njaa? Halafu punguza au acha kabisa mawazo ya ngono
 
Anayekusaidia, siku zote usifikiri kwamba kasaidia kwasababu hana dhiki.
Kutoa ni Moyo. Acha Mugabe atoe.
 
kidogo kula na ndugu yako,kusaidiana ni heri kuliko kuwasubiri bepari asaidie,kwani kwako ukiwa na chakula kidogo huwezi kumsaidia jirani aliyekaribu kukata roho kwa njaa? by the way 2008 sio leo ebu tutajie hayo matatizo kibao yaliyopo nchini zimbabwe.
GDP - Countries - List | Africa
Aliyekuambia Zimbabwe kuna shida nani? Umesikia wamekufa njaa? Halafu punguza au acha kabisa mawazo ya ngono

Kwa faida ya yenu na wale wasiojua, kwanza nikubali kuwa kutoa ni moyo wala si utajiri. Pili wenzetu wanasema charity begins at home.

Zimbabwe inayo isiyo nzuri kiuchumi kwasasa. Maduka mengi yamefungwa biashara zimedolola hakuna ajira na mambo chungu nzima. Mpaka sasa licha ya kuintroduces bondnotes baada ya uhabawa dolla ya mmarekanialiyokuwa anatumia bado haijasaidia kitu. Watu wanaamka usikumnene kuwahi foreni za benki ili walauwaweze kupata fedha ya kujikimu kwa wale. Licha yakupunguzakiwango ambacho mtu anaweza kuwithdraw kwa siku mpaka kufikia dolla 20-50 tu si jambo la kushangaza kufika saa 4 asubuhi kisha mnaambiwa benki imeishiwa hela.

Lakini ni juzi tu wanafunzi wa chuo kikuu cha Zimbabwe walifanya maandamano ya amano kupinga kuongezeka kwa ada kwa zaidi ya asilimia 100 kwa muhula kutoka dola 450 ya maladhi +dolla 773 ada Jumla kuwa dolla 1223 kwa muhula na sasa watatakiwa kulipa dolla 450 ya maradhi + dolla 1500 ada na Jumla inakuwa 1950. Ikumbukwe kuwa muhula ni wiki 15 tu nakwa mwaka mmoja kunakuwa na mihula 2. Kwa mwaka watatakiwa kulipa dolla za mmarekani $3,900. Watoto wetu na wadogo zetu wanalipa shillingi ngapi kwenye vyuo vyetu.Fikiria iwapo mzazi wako angetakiwa kulipa hiyo kama ungeweza. Lakini jiulize ungejisikiaje pale ungeona serikali inayokwambia haina hela inatoa hela kwa mambo ambayo hayana direct impact kwenye nchi yako?
Unaweza kujisomea zaidi habari hiyo kwa kubonyeza hapa. Kitendo hicho kilisababisha chuo kufungwa na wanafunzi kufukuzwa kwenye hostel zao usiku na hivyo wengi kukosa mahali pa kulala na wengine wakahifadhiwa na kanisa kwa picha zaidi bofya picha.
Iwapo basi serikali inayo hela ya kusaidia AU kwanini isianze na angalau kuwasaidia watoto wa maskini ambao sasa ni dhahiri watakosa kupata elimu ya juu kwavile wazazi/wale wao hawawezi kulipa ada hiyo.

Nani muhitaji zaidi katika ya wanafunzi hao na AU, wakati huo wanafunzi hao waliomba angalau serikali iwalipie ongezeko hilo ili wao waendelee kulipa kile walichokuwa wanakilipia lakini waliambiwa serikali haina hela.
Charity begins at home tunaielewaje sie?
 
kidogo kula na ndugu yako,kusaidiana ni heri kuliko kuwasubiri bepari asaidie,kwani kwako ukiwa na chakula kidogo huwezi kumsaidia jirani aliyekaribu kukata roho kwa njaa? by the way 2008 sio leo ebu tutajie hayo matatizo kibao yaliyopo nchini zimbabwe.
GDP - Countries - List | Africa

Ujafika hata mlandizi kaa kimya hao wakulima n wepi waliochanga kama sio kiongo hiko kibabu.? Zimbabwe hakuna kilimo yoyote inaendlea kuanzia harare bulawayo karoi na kokote kumekauka mbaya.Mbona nyie hamuuzi makinikia yale mchangie kama kweli kweli zimba wakulima wanapesa.?
 
Aliyekuambia Zimbabwe kuna shida nani? Umesikia wamekufa njaa? Halafu punguza au acha kabisa mawazo ya ngono

Hapa kwenu kuna watu wanashindia uji vepee kuna njaa au hakuna njaaa akili ka ubongo wa kenge
 
Back
Top Bottom