Sijui ni uvivu wa kuandika au ndio madoido! Hata kwenye mitihani yawezekana ndivyo wanavyoandika halafu wanataka kuandamana kwa kulalama wanapata sifuri.

Kama sms ningeelewa maana wanatozwa kwa kuhesabu idadi ya maneno (like 160 characters is the unit). Ila sasa Jamiiforums anapima nini??? tena anaandika jukwaa la elimu!
Kuuliza si ujinga ila huyu mtu ndio mjinga,hivi hata wewe huoni tofauti kati sentensi yako na za kwake? Nisaidie kumuuliza maana ya maneno haya:
Iv
Kam
Kw
Pil
W
Tym
Hili ni jukwaa la elimu kama anataka kuchat aende chit chat