Ester Matiku you are so beautiful

Kazuri kweli....ila kanaokenaka kabishiii!!Juzi alimjibu HKigwangallah kwa dharau mpaka yakamshuka
 
Last edited by a moderator:
Huyu dada jamani nilitokea kumpenda sana hata kabla hajawa mbunge alikuwa anatufundisha pale udbs course ya BM100 alikuwa anani inspire sana nikimuona pale mbele.
Nampenda sana she seems smart.
 
Huyu dada mzuri kweli. Kuna siku nilimuona bungeni anaongea japo kwel alikua out of point kdogo bt nilimpenda hivo hivo. ShzCute
 

Aiseeeew
 

Pata bahati uonane nae kwa karibu utakuja kufuta maneno yako hapa
 
Pata bahati uonane nae kwa karibu utakuja kufuta maneno yako hapa

Aulize watu wa SUA intake ya 1998 yaani sio kuonana naye tu alale naye siku moja tu na namba yake ya simu ataifuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…