Ester Bulaya kikaangoni EATV

Ester Bulaya kikaangoni EATV

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,504
Reaction score
8,253
Katika maswali aliyoulizwa ni pamoja na Escrow na Richmond ipi ilitisha? Ester kajibu Escrow. Wewe mwanaJF unasemeje Escrow vs Richmond?
 
Escrow,operation tokomeza, vinatisha zaidi mpaka wahisani waligoma kutoa mikopo na misaada.
 
Richardmond mitambo bado inakodishwa na ilifunguliwa na Obama japo bunge na serikali waliikataa. Escrow ndio mpango mzima maana waligawana pesa
 
Sikuahi kufikiria kabisa kama leo tutafikia hatua ya kuanza kushindanisha Ufisadi lakini hii yote ina letwa ili kumsafisha EL.haya nyie NYUMBU wazamani na wale wanaohama sasa kule ngorongoro karibuni mtibue vumbi

Nyumbu mamako
 
Richardmond mitambo bado inakodishwa na ilifunguliwa na Obama japo bunge na serikali waliikataa. Escrow ndio mpango mzima maana waligawana pesa

Tena kwenye viroba, boxes rambo
 
Sikuahi kufikiria kabisa kama leo tutafikia hatua ya kuanza kushindanisha Ufisadi lakini hii yote ina letwa ili kumsafisha EL.haya nyie NYUMBU wazamani na wale wanaohama sasa kule ngorongoro karibuni mtibue vumbi

Peleka ujinga huko Huna adabu gamba ww unanuka mdomo kwanza toka hapa kijana mdogo upo sisiem kwel we unautaira jitambue mwehu mkubwa ww
 
Pesa ya kubebwa kwenye sandarusi haijawahi tokea,siwapatii picha madereva waliobeba hizo pesa maana walikuwa wanaambiwa beba kadri ya mikono yako
 
escrow zaidi ya bilion 360, wakati richmond ni bilion 172. we bado huon kipi noma??????
 
Back
Top Bottom