Arsenal na ubahili wao, wanachukua magalasa. Yaani huyo dingi Essien ndio anategemewa kuchukua ya kijana Song?
Nadhani Wenger ameamua kucheza kamari, nina wasiwasi muda wa Mzee Wenger kubaki Emirates unahesabika, akifaulu kuifanya Arsenal kuwa bingwa EPL nitaamini kuwa kweli Wenger ni Proffesor.