ESS Portal challenges

Meddy MD

New Member
Joined
Mar 19, 2023
Posts
2
Reaction score
3
Nilikuwa naaply loan kwenye mfumo wa ess lakini sijafanikiwa kusubmit kwa FSB nikiwa nimejaribu zaidi na zaidi ila alifanikiwa kuletewa code ili niendelee. Shida itakuwa nini wakuu? Naomba kusaidiwa
 
Napata tatizo kama la kwako uliweza kufanikiwa ?
 
Nilikuwa naaply loan kwenye mfumo wa ess lakini sijafanikiwa kusubmit kwa FSB nikiwa nimejaribu zaidi na zaidi ila alifanikiwa kuletewa code ili niendelee. Shida itakuwa nini wakuu? Naomba kusaidiwa
Mkuu ulifanikiwa ?Nina shida kama ya kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…