Sema kama nenga Member Joined May 8, 2025 Posts 24 Reaction score 114 Jun 16, 2025 #1 From covering all NBA games after he was caught playing solitaire during the game 4 of the NBA finals league. Boxs core ph.
From covering all NBA games after he was caught playing solitaire during the game 4 of the NBA finals league. Boxs core ph.
dem boyz JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 7,397 Reaction score 17,010 Jun 16, 2025 #2 mbona haraka hivyo
Guacamole JF-Expert Member Joined Mar 19, 2019 Posts 6,185 Reaction score 16,385 Jun 16, 2025 #3 Walikua wanamtafutia sababu
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,567 Reaction score 108,869 Jun 16, 2025 #4 Yaani alikuwa ancheza solitaire muda wa kutangaza ama? Je wao katika matangazo yao kuna kitu kilimiss, maana nijuavyo huwa na watangazaji zaidi ya mmoja, lakini pia huwa kuna mapumziko, si rahisi acheze game huku anatangaza.
Yaani alikuwa ancheza solitaire muda wa kutangaza ama? Je wao katika matangazo yao kuna kitu kilimiss, maana nijuavyo huwa na watangazaji zaidi ya mmoja, lakini pia huwa kuna mapumziko, si rahisi acheze game huku anatangaza.