Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
sababu ya kuuweka huo mlima?
Sasa kilicho tushinda kujenga hili feri pale ni kipi mpaka daraja likapelekwa kurasini?
Kwa magari yetu yaliokatika centre bolt hapo ni maafa.
Sababu ni kuwa madreva wa Kitanzania wanaugonjwa wa kutopenda kufuata masharti; hilo daraja likijengwa hapo feryy litaleta karaha na maafa ya kupindukia. Dont try this at home!!!!
sababu ya kuuweka huo mlima?
Sasa kilicho tushinda kujenga hili feri pale ni kipi mpaka daraja likapelekwa kurasini?
Usalama... pale ni mahali nyeti... ingebidi barabara ianzie mbali, sasa kuna nafasi ya kuanzia mbali kama sio nyumbani kwa mukulu? Ni pafinyu mno...
Mpaka mjue kupiga mbizi kwanza.Sasa kilicho tushinda kujenga hili feri pale ni kipi mpaka daraja likapelekwa kurasini?
Mkuu hilo daraja kwenye picha mbona linaonekana halijaanzia mbali? Na kama ishu usalama mbona wameruhusu Soko la samaki Na jengo la ghorofa zaidi ya 10 lijengwe karibu?