Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 50
.......Chini ya Hizo Bei Haiuzwi wala usipige simu kwani kuiona ni bure kabisa tafuta muda wako njoo uione ......Tunahitaji watu waliokusiriasi na gari sio kuleta mzaaa. kama kweli upo interest utaitafuta hata picha huitaji au angalia mtandao wa TRA ujue imeingia lini fuata namba hapo juu. .......Unapewa Miezi sita miaka 10 warranty. wahii haraka
Thanks Mchungaji,
hiyo gari ni mwaka gani?
engine capacity?
milango mingapi?
mileage ngapi?
Umesoma maelezo yake kweli au umekurupuka kulipuka maswali maana vyote ameandika
Hajakurupuka,Original Post haikuwa na taarifa hizo.
Gari inauzwa Escudo Nomade ya Dark Green imeingia Dar kutoka Japan Date 26/11/2009 inauzwa imesajiliwa T 675 BED kwa mawasiliano zaidi piga 0713623575 Bei Inaanzia Milioni 15 mpaka Milioni 14. Picha Max atawawekea. Chini ya Hizo Bei Haiuzwi wala usipige simu kwani kuiona ni bure kabisa tafuta muda wako njoo uione ina Ngao ya Mbele, Nyuma pia kuna Ngao, Ina roof na pia ina kapete (pea tatu) tofauti yaani unaweza kukabadilisha mara tatu (pea) Tunahitaji watu waliokusiriasi na gari sio kuleta mzaaa. kama kweli upo interest utaitafuta hata picha huitaji au angalia mtandao wa TRA ujue imeingia lini fuata namba hapo juu. Haina tatizo lolote Ina Comprehesive ya Zanzibar Insurance. Inatembea, Pia haijawai kupata tatizo lolote ajali au kitu kingine na Unapewa miaka 10 warranty. wahii haraka. sio kutumia misuli bali kuna waheshimiwa wengine wanataka kujaribu watu wanaweza kukusumbua na gari waisichukue please usinikoti vibaya.Ina km 94,500 ya mwaka 1994 Capacity ya Engine ni CC-1590.Ina milango 5.
Nashukuru mkuu RealTz77 kwa ofa yako ujue hukusoma vyema warranty miaka 10 kwahiyo kuibiwa vitu haiwezekani kabisa nimesill mtu hawezi kuiba na pia ina alam ambayo hata wale waizi wakitumia smaku inalia tuu alam original kutoka england. wewe fanya biashara ya kweli kweli lipa hizo pesa kisha kama kuna tatizo la wizi ndani ya miaka kumi narudisha pesa. Asante mkuu nasubiri jibu
duh hii imetulia kweli kweli!ntakuona kiofisi mkuu!