madangwa Member Joined Aug 20, 2009 Posts 8 Reaction score 0 Feb 19, 2014 #1 ESCUDO Inauzwa Bei Million 6. Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0712170226 Attachments IMG-20140218-WA006.jpg 22.6 KB · Views: 240
mchatts Member Joined Dec 19, 2013 Posts 96 Reaction score 18 Feb 19, 2014 #2 Weka details za gari kupunguza usumbufu wa simu
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,099 Reaction score 2,209 Feb 19, 2014 #3 mkuu madangwa tokea ujiunge JF mwaka 2009 una jumla ya post tano tu!!
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,134 Feb 19, 2014 #4 VOICE OF MTWARA said: mkuu madangwa tokea ujiunge JF mwaka 2009 una jumla ya post tano tu!! Click to expand... Hiyo ni "spare ID" inatumika wakati ile ya ukweli imekula BAN.........wewe huna speya mkuu?
VOICE OF MTWARA said: mkuu madangwa tokea ujiunge JF mwaka 2009 una jumla ya post tano tu!! Click to expand... Hiyo ni "spare ID" inatumika wakati ile ya ukweli imekula BAN.........wewe huna speya mkuu?
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,074 Feb 19, 2014 #5 VOICE OF MTWARA said: mkuu madangwa tokea ujiunge JF mwaka 2009 una jumla ya post tano tu!! Click to expand... Lol, ndiyo ujue hatatokea tena hapa mpaka mwakani!
VOICE OF MTWARA said: mkuu madangwa tokea ujiunge JF mwaka 2009 una jumla ya post tano tu!! Click to expand... Lol, ndiyo ujue hatatokea tena hapa mpaka mwakani!
Neylu JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 2,938 Reaction score 1,847 Feb 19, 2014 #6 CYBERTEQ said: Lol, ndiyo ujue hatatokea tena hapa mpaka mwakani! Click to expand... Hahahahahaaaaaa............!!!
CYBERTEQ said: Lol, ndiyo ujue hatatokea tena hapa mpaka mwakani! Click to expand... Hahahahahaaaaaa............!!!
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,074 Feb 19, 2014 #7 Neylu said: Hahahahahaaaaaa............!!! Click to expand... Lol, kweli mkuu, 2009-2014 ni miaka mitano, yeye ana jumla ya post tano, ina maana wastani wake ni post moja kwa mwaka, 2014 keshapost tumngoje 2015!
Neylu said: Hahahahahaaaaaa............!!! Click to expand... Lol, kweli mkuu, 2009-2014 ni miaka mitano, yeye ana jumla ya post tano, ina maana wastani wake ni post moja kwa mwaka, 2014 keshapost tumngoje 2015!
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 802 Feb 20, 2014 #8 chukua 4 m mkuu.
Danny Massawe JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,299 Reaction score 765 Feb 20, 2014 #9 chukua 5m. 0688195219
Danny Massawe JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,299 Reaction score 765 Feb 20, 2014 #10 mkuu mbona namba ya simu uliyotoa sio yako