Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Kweli Mkuu?Nadhani JK aliliJibu swali hili mbele ya wazee wa (CCM) wa Darisalama kipindi kipindi anamuondoa mama Tibaijuka. Alisema ''HAZIKUWA ZA UMMA''. Was he right?
Nadhani JK aliliJibu swali hili mbele ya wazee wa (CCM) wa Darisalama kipindi kipindi anamuondoa mama Tibaijuka. Alisema ''HAZIKUWA ZA UMMA''. Was he right?
Kweli kaka. Alisema zile fwedha hazikuwa za Umma. Alibariki jambo lile kimtindoKweli Mkuu?
Jitahidi usichanganyikiwe mkuuHaya mambo yanachanganya sana