kumbe hawa kakiri mwenyewe kwamba ni mjinga? Thats gud of her nimependa hiyo. Wote tumewahi kuwa watoto na tunaweza kukubaliana kwamba kuzomewa ni adhabu kwa watoto "wajinga" walio bright hawazomewi bali wanapigiwa makofi.
Tunashukuru mama ghasia kwa kuconfirm hili so hatutakusumbua tena bali tutapambana na aliyekupa kazi ambayo huiwezi kwa mujibu wa status yako ya kuzoea "kuzomewa"