optimus prime
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 401
- 287
Singa singa alishawaliza hata wasouth
Sasa hii ni mahakama ya wasouth? Huu ushabiki ndio unakufanya utumike kirahisi na Kafulila.
Mkuu si ameleta ushaidi tu kuhusu uyu jamaa mbona unakua mkali
Ubabe wa mamba majini kumbe kiboko ndiye kiboko yake, Rusinde kibajaj anaomba kumuumbua nani wakati rushwa haiombwi kwa makaratas, Mr. Tumbiri akamatiki hata kama kweli aliomba.
mkuu hizo data zinajazwa tu humo ata wewe ukitaka utajaziwa tu sio singa peke yake!!!!Singa singa ni mwivi tangu kitambo
hachana naye mkuu huyo anakupotezea mdaa wako! maana hajui ata ushaidi unakuwajeMkuu you sound kama mwenye hekima furani hivi, naomba usinifanye nikudharau. Kweli huo ni ushahidi? Na hii ndio Mahakama yenyewe? Hiyo ni south Africa wewe, ambapo hakuna aliye juu ya sheria, Wasinge mchelewesha kama kuna ushahidi kama unavyosema wewe. Turudi kwenye topic mkuu, ESCROW: Wabunge waomba muda waumbuane!
ata kamatika tuu mwaka huu we subili tu na tumbili wakoUbabe wa mamba majini kumbe kiboko ndiye kiboko yake, Rusinde kibajaj anaomba kumuumbua nani wakati rushwa haiombwi kwa makaratas, Mr. Tumbiri akamatiki hata kama kweli aliomba.
mkuu mjini hapa watu wana piga kutokana mazingira uliyokuwepoWanaomba muda zaidi kujadili ripoti au kupata fedha zaidi (posho ya siku) kukidhi mahitaji ya sikukuu zinazokuja na ada za January)
Kwakuwa taarifa ya uchunguzi itakuwa na mapendekezo, siku moja inatosha sana kuridhia hayo mapendekezo ya CAG
Wanaomba muda zaidi kujadili ripoti au kupata fedha zaidi (posho ya siku) kukidhi mahitaji ya sikukuu zinazokuja na ada za January)
Kwakuwa taarifa ya uchunguzi itakuwa na mapendekezo, siku moja inatosha sana kuridhia hayo mapendekezo ya CAG