VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Nashauri tu. Naweza kukubaliwa au kukataliwa kwa kupondwa bila ya kupendwa. Kukandiwa kuwa nami nimechotewa. Nipo tayari kuwasilisha tu ushauri wangu. Nashauri kuwa suala la Escrow tuachane nalo,tufanye mambo mengine.
Hili limekwama. Zitapigwa sarakasi hadi watu wavunjike migongo. Na watazamaji wajawe na huruma na usingizi. Mkwamo ulianza Bungeni na hadi lilipo.
Tuachane nalo. Likibidi libaki mioyoni na vichwani mwetu tu. Tuamue kimyakimya. Tuacheni jamani. Vichwa vitauma;midomo itauma;mioyo itakwenda mbio na kadhalika.
Escrow is extremely complicated. Limekwama.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Hapana, mtujulishe kwanza. Kazi ya bunge ni kuisimamia serikali. Rais akikataa kutekeleza maazimio ya bunge, nini kinapaswa kufanywa na bunge? Hauwezi kuanzishwa mchakato wa impeachment?Nashauri tu. Naweza kukubaliwa au kukataliwa kwa kupondwa bila ya kupendwa. Kukandiwa kuwa nami nimechotewa. Nipo tayari kuwasilisha tu ushauri wangu. Nashauri kuwa suala la Escrow tuachane nalo,tufanye mambo mengine.
Hili limekwama. Zitapigwa sarakasi hadi watu wavunjike migongo. Na watazamaji wajawe na huruma na usingizi. Mkwamo ulianza Bungeni na hadi lilipo.
Tuachane nalo. Likibidi libaki mioyoni na vichwani mwetu tu. Tuamue kimyakimya. Tuacheni jamani. Vichwa vitauma;midomo itauma;mioyo itakwenda mbio na kadhalika.
Escrow is extremely complicated. Limekwama.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Hoja imekubaliwa na kuungwa mkono.
Sasa nitawahoji wanaoafiki waseme ndiooooooo... na wasioafiki waseme sio.
Nadhani waliosema ndio wameshinda.
Nashauri tu. Naweza kukubaliwa au kukataliwa kwa kupondwa bila ya kupendwa. Kukandiwa kuwa nami nimechotewa. Nipo tayari kuwasilisha tu ushauri wangu. Nashauri kuwa suala la Escrow tuachane nalo,tufanye mambo mengine.
Hili limekwama. Zitapigwa sarakasi hadi watu wavunjike migongo. Na watazamaji wajawe na huruma na usingizi. Mkwamo ulianza Bungeni na hadi lilipo.
Tuachane nalo. Likibidi libaki mioyoni na vichwani mwetu tu. Tuamue kimyakimya. Tuacheni jamani. Vichwa vitauma;midomo itauma;mioyo itakwenda mbio na kadhalika.
Escrow is extremely complicated. Limekwama.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kuendelea na escrow ni kutaka kuleta uhaini ktk taifa sababu mtuhumiwa namba moja ni mkulu. Sioni ni jinsi gani litaisha na mkuu akabaki salama.
Bora huyo mkulu akatolewa tu kuliko kufuga mwizi.