ESCROW scandal: Pinda apata watetezi


Umeongea ukweli sana aysee.......hakuna unafki hapo......CCM hakuna mtu wote wezi tu.
 
Mbona na ww ni mtumwa wa mgombea wa Urais? Acha ujinga hapa
 
Jiulizeni kwa nini ripoti ya Takukuru haikuletwa bungeni? hapo mjue hamna kitu akina Zitto wamejikakamua bure bila kujua wametumika kama kuni watu waendelee kuota moto: wahisani waone limejadiliwa, wananchi wameelewa kura zitapatikana basi hakuna kingine hapo kwenye hiyo komedi au mchezo wa kuigiza
 
Pinda ndio Tunu ya taifa hili kwa uzalendo na kuichukia rushwa... Hakuna mfano wake.

wewe ni tutusa kwelikweli. pinda anatakiwa kujiudhuru kwa kutetea wezi na kutoa taarifa za uongo bungeni kwa nia ovu ya kulinda MAFISADI.
 
Mbona na ww ni mtumwa wa mgombea wa Urais? Acha ujinga hapa

Ni kweli kabisa mkuu. huyo mpuuzi anayemtetea pinda (mgombea urais) lazima atakuwa ametumwa na mafisadi ili kutetea wezi. mpuuzi mkubwa!
 
Pinda ni tunu ya taifa tunamuitaji huyu mtu kwa maendeleo ya taifa letu tusiingize siasa kwa hilii pinda is the right person.
 
Hakuna kulala hadi kieleweke. Pinda na wakuu wake wa kazi sharti wakamatwe ili kusaidia upelelezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…