F farooq2013 Member Joined Aug 11, 2013 Posts 98 Reaction score 16 Jan 17, 2015 #1 Escrow ni jammi ya panya road tofauti yao ni wezi waescrow wanatumia kalamu na panya road wanatumia mapanga..... Mchungaji godfrey sombi Source. Jicho ndani ya habari. Star Tv
Escrow ni jammi ya panya road tofauti yao ni wezi waescrow wanatumia kalamu na panya road wanatumia mapanga..... Mchungaji godfrey sombi Source. Jicho ndani ya habari. Star Tv
M mbosia Senior Member Joined Jul 17, 2011 Posts 123 Reaction score 36 Jan 17, 2015 #2 Huu ni ukweli ukweli mtupu usiobishaniwa
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 19,035 Reaction score 15,242 Jan 17, 2015 #3 Mie namshangaa sana Kova badala ya kukamata MAPAKA ROAD YEYE ANAKAMATA VIPANYA ROAD tena kwa mbwembwe kuu! Kama yeye kamanda kweli aanze na Chenge, Ngeleja, Kilaini, Ruge na wengineo!
Mie namshangaa sana Kova badala ya kukamata MAPAKA ROAD YEYE ANAKAMATA VIPANYA ROAD tena kwa mbwembwe kuu! Kama yeye kamanda kweli aanze na Chenge, Ngeleja, Kilaini, Ruge na wengineo!
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,612 Reaction score 18,998 Jan 17, 2015 #4 Inashangaza...
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 19,035 Reaction score 15,242 Jan 17, 2015 #5 Tena ndani ya ccm hawathubutu hata kidogo kunyosheeana vidole kwani wote wanatambuana kuwa ni UKOO WA PANYA .
Tena ndani ya ccm hawathubutu hata kidogo kunyosheeana vidole kwani wote wanatambuana kuwa ni UKOO WA PANYA .