ESCROW imenikosesha gemu ivi ivi

ESCROW imenikosesha gemu ivi ivi

chuma cha reli

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Posts
2,764
Reaction score
2,566
Leo mchumba wangu amekuja kunitembelea,nmekaa nae tokea saa 10 jioni kila nikimgusa ataki eti oh Dia nasikiliza bunge..
Nlikuwa nahamu nae sana since June tuliachana sasa tumerudiana analeta mambo ya Escrow.... Yaani nmefuraha hapa nasubiri kwa hamu liishe duh.
 
basi sawa kumbe watizama bunge na mchumba wako, ahsante kwa kutujuza.
 
Leo mchumba wangu amekuja kunitembelea,nmekaa nae tokea saa 10 jioni kila nikimgusa ataki eti oh Dia nasikiliza bunge..
Nlikuwa nahamu nae sana since June tuliachana sasa tumerudiana analeta mambo ya Escrow.... Yaani nmefuraha hapa nasubiri kwa hamu liishe duh.

Sasa si hamishia TV chumbani halafu umgegede. Umfyeke mpaka asahau kuwa kuna Bunge.
 
ImageUploadedByJamiiForums1417197648.434873.jpg
Na subiri harusi Sio kubwa hata Kama hiyo Kwenye pic inatoshaa..
 
Leo mchumba wangu amekuja kunitembelea,nmekaa nae tokea saa 10 jioni kila nikimgusa ataki eti oh Dia nasikiliza bunge..
Nlikuwa nahamu nae sana since June tuliachana sasa tumerudiana analeta mambo ya Escrow.... Yaani nmefuraha hapa nasubiri kwa hamu liishe duh.

Hah hahahha.Baby,kumbe na wewe upo JF.Kwa taarifa yako leo sikupi.
 
Leo mchumba wangu amekuja kunitembelea,nmekaa nae tokea saa 10 jioni kila nikimgusa ataki eti oh Dia nasikiliza bunge..
Nlikuwa nahamu nae sana since June tuliachana sasa tumerudiana analeta mambo ya Escrow.... Yaani nmefuraha hapa nasubiri kwa hamu liishe duh.

umenchekeshaa
 
Hizo ni collateral damage za ESCROW. Hizi siku kadhaa kuna watoto wamezaliwa wanaitwa Escrow!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom