Doreen Don Critic
Member
- Sep 30, 2014
- 9
- 7
Sukuma sukuma Escrow inayoendelea inataka kuhakilisha Escrow inaingia ndani ya jumba la serikali.Ikiingia tu tukue game over kama yaliyotukuta kwenye Katiba.Kwa maana hiyo basi Wananchi amkeni.Tabia zenu za kusinzia ndio maana tunaibiwa mchana kweupe.Tizama movie hii ya jioni wawe wabunge mizigo kina Mariam Nassoro,Chombo,Ndassa ,Mtoto wa haramu Lusinde na wengine wanasukumiza zigo hili lipelekwe serikalini wachukuliwe hatua kama waajiriwa na serikali ENDAPO itabainika wameshiriki.Huu ni upuuzi.Tunataka vielelezo gani zaidi .Acheni kulala nchi inatakatishwa.Wananchi ndio watakaookoa jahazi