Error 720 A connection to the remote couldn't be established.

Bonesmen

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2016
Posts
929
Reaction score
994
Natumia win 10 modem imesha detect line modem ya Zain nime unlock sasa kila nikiconnect inaleta huo ujumbe nashindwa kupata internet msaada wakuu
 
Umesahau hapo mwisho kusema 'nawasilisha' ndo maana watu hawachangii mkuu!
 
Wakuu shida bado inajirudia niki restart pc fresh ila ikikaa baada ya muda ina disconnect na kuleta hio error niliyoandika kwenye heading , any help
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…