blix first degree is just an educational level you need to go further to specialize in your profession choice otherwise you will be treated just like Form VI, Form IV or Standard VII leaverhawa jamaa majuz waliwaita jamaa kwenye oral ya customer care,jamaa wakafanya oral wakafaulu wakapewa makabrasha ya kujaza wakamaliza wakaambiwa j3 waende mlimani city tayar kwa training for that post sasa bas what happens next was stupid ikawa hivi, kufika pale kwanza wakazungushwa sana na dada 1 walioambiwa wamuone tangu saa 2 asubuh had saa 4 asubuh, mwisho wa siku yule dada akawackiliza alichowaambia ni kwamba waingie kwenye intaviw nyingine ya oral tena eti kweny kitengo cha sales and marketing ili waende mtaani wakauze modem na lain, kurud kule erolink moroco kuwauliza eti wanasema 2meamua kuwapeleka huko na hili limekuwa ghafl! kweli jaman hata kama kuna tatizo la ajira ndo a degree holder akafanye hivy tena kwa shling 3500, jaman kibaya! kwann iwe ghafl eti 2mectisha mkataba duuuu hawa jamaa hawafai
hawa jamaa majuz waliwaita jamaa kwenye oral ya customer care,jamaa wakafanya oral wakafaulu wakapewa makabrasha ya kujaza wakamaliza wakaambiwa j3 waende mlimani city tayar kwa training for that post sasa bas what happens next was stupid ikawa hivi, kufika pale kwanza wakazungushwa sana na dada 1 walioambiwa wamuone tangu saa 2 asubuh had saa 4 asubuh, mwisho wa siku yule dada akawackiliza alichowaambia ni kwamba waingie kwenye intaviw nyingine ya oral tena eti kweny kitengo cha sales and marketing ili waende mtaani wakauze modem na lain, kurud kule erolink moroco kuwauliza eti wanasema 2meamua kuwapeleka huko na hili limekuwa ghafl! kweli jaman hata kama kuna tatizo la ajira ndo a degree holder akafanye hivy tena kwa shling 3500, jaman kibaya! kwann iwe ghafl eti 2mectisha mkataba duuuu hawa jamaa hawafai
sasa modem na laini mnataka ziuzweje?
hiyo sio sales?
bora nife kuliko kuuza modem kwa ujira wa 3500 kwa siku......kauzeni modem nyie hacheni ubishoo,mtaendele kuzunguka na vijibahasha kwenye viunga vya posta hadi lini?
hawa ndo walitakiwa wajiriwe huko bachelor holder tena ujira 3500 kwa sikuna kuna ziro 260000 mtaani
tutauziwa hadi laini za mwilini mwaka huu!Na kuna Ziro 260000 mtaani
so kumuuzia mtu moden sio customer care?kazi ya mwanzo ilikuwa ni ya customer care na siyo sales!
so kumuuzia mtu moden sio customer care?