this is a good and bold move!
Paka ukizoea kumpa Chakula, tena kwa kumpangia ale nini, ukifika muda ule wa msosi atakuja huku akilia nyauuu...nyauuu. Lakini ukiacha kumpa chakula, siku mbili tatu za mwanzo atapata shida lakini baada ya hapo ataanza kuwinda mwenyewe, panya, atavizia hata vindege, au ataenda jalalani kujitafutia msosi. at the end atakuwa free bila kukutegemea. na hivi ndivyo inavyotupasa tuwe.
Hii misaada ni ya kimtego ili kuendelea kutufanya tusurvive, tusife njaa ili tukose akili ya kuzitumia rasilimali zetu kujikwamua na hivyo wao wanakuja tu kujichukulia kiulaini. ila tukiwa na njaa ndo utaona jinsi tutakavyozijali dhahabu zetu, mbuga zetu kwa maana hivi ndo vitakuwa nyenzo za survival yetu.