Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Nitue meeeen
Nyumba yako inaungua,
Sijui ni shetani,
Sijui ni jini mahaba,
Fimbo ya mbali,
Inashindwa sasa kuua nyoka,
Chocs kavumilia weeeee
Uzalendo umemshinda,
Kaoga maji ya moto wapi,
Ndizi ya bukoba wapi,
Afanyeje mtoto wa kike,
Inaelekea karibu atachukua maamuzi magumu,
Usije sema hukuonywa,
Take care ,
And stop taking her for granted,
Damu yake,
Bado yachemka ati!
Mwambie huyu mzee!
Mwambie huyu mzee!
Yaaani kaka yangu huyu anazeeka vibaya sijapata kuona.
Hahahahaha..mwambie ageuke!we nae kavae shati kwanza