How to be a magufuli ikwapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
How to be a magufuli ikwapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbuka wakata Eric Omondi ameanza hii ''How to be...'' alianza na Diamond ili kuvutia watazamaji. Unajua kwanini? Kwasababu Diamond ana nguvu sana hapa Afrika kwa wasanii, lazima mtu amzungumzie ili apate kuonekana.