M MIGNON JF-Expert Member Joined Nov 23, 2009 Posts 4,120 Reaction score 5,119 Dec 8, 2011 #1 Mgomo umeanza chuo kikuu kipya cha Tanga Erckenforde. Sijapata chanzo hasa ila tangu mwanzo kulikuwa na dalili za ulaghai mkubwa,jamma wanakusanya pesa tu. TCU na bodi ya mikopo fanyeni follow up haraka sana.
Mgomo umeanza chuo kikuu kipya cha Tanga Erckenforde. Sijapata chanzo hasa ila tangu mwanzo kulikuwa na dalili za ulaghai mkubwa,jamma wanakusanya pesa tu. TCU na bodi ya mikopo fanyeni follow up haraka sana.