Kauli mbiu ya urusi sasa hivi ni kuondolewa vikwazo, anaomba usiku na mchana aondolewe vikwazo, vikwazo vina tabia ya ku bite kimya kimya
Iran alijifanya haumizwi na vikwazo, lakini hapa mwishoni sharti Lake kuu la kuachana na nuclear ni kwanza aondolewe vikwazo, ndipo nikagundua kuwa vikwazo viliiumiza sana Iran, waliamua kufa na tai shingoni