madiya85
JF-Expert Member
- Mar 5, 2013
- 282
- 65
jamani nna photoprinter hiyo ilikuja ina wino ndani yake pia ikaja na wino ule wa nje wenye vidumu kwa wanaojua nafikiri wamenielewa tatizo limetokea ule wino iliyokuja nao umeisha sasa nmebadlisha nkaweka ule wa kukaa nje kwenye vdumu inakataa inasema ink catrg not recognized nisaidieni jamani wakuu nifanyaje.