juma s magombe
Member
- May 17, 2013
- 36
- 5
natafuta hii printer, nimejaribu kuzunguka katika madukaa ya hapa Arusha bila mafanikio.
Nahitaji msaada
Nahitaji msaada
Ina nini special mpaka uitafute hivyo?natafuta hii printer, nimejaribu kuzunguka katika madukaa ya hapa Arusha bila mafanikio.
Nahitaji msaada
Kama hutajali naomba uweke namba yako ya simu nitakupigia au nicontact kwa email address frajosmal@yahoo.com
Machine unayohitaji naweza kukusaidia ukapata brand new au used. utakavyopenda mwenyewe,hata ukihitaji na catridges zake naweza kuku supply japo kwa machine mpya utapata catridge sita. Asante.
Mm nahitaji ndogo ya passport size ni tsh ngap. 0625480174Mkuu. Epson printer 1410 utapata kwa tsh 1100000 ikiwa na Continuous supply ink system.
Pia kama unataka kwa ajili ya kuprintia cd ninaweza badilisha mfumo wake badala ya kuprint cd moja moja , inabadishwa inakuwa inaprinti CDs , 6pcs. Inakuwa poa tu bila shida.