The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,987
- 117,381
Asante mkuu kwa kumfahamisha huyo,anaonekana anakaza ubongo kwa mihemko ya kishabiki kuliko kiuhalisia.Yani wewe unapima kutazamwa kwa Laliga kwa reference ya Tanzania?
Ufatiliaji wa ligi ni mazoea tu yaliyojijenga toka miaka ya nyuma, zipo nchi zinatazama laliga zaidi kuliko epl.
EPL is full of avarage players na ndio mana unaona kuna ushindani, ushindani hauletwi na ubora wa juu, ukisema ushindani wa timu moja kufunga nyingine ni kipimo cha ubora basi ligi ya bongo nayo ni bora kuliko laliga??
Man U anafungwa na Cristal Palace sio kwasababu Cristal Palace ni bora, ni kwasababu Man U ni mbovu, same applies kwa hizo timu nyingine. Unataka kuniambia Cristal Palace ataenda laliga akaisumbue Baca au Real Madrid pamoja na kiwango chake kibovu kwa sasa??
Kipimo pekee ni champions league na Europe league. Ndio mana ikaitwa ligi ya mabingwa. Inamana kwamba wenye uwezo wa juu katika kila ligi wanawakilisha ligi zao kwenye michuano kuona nani bora zaidi.
Hii mambo ya kuambiana kwamba timu yoyote inaifunga timu nyingine ndio ubora ni invalid kabisa. Hii ni ushindani, kushindana sio lazima muwe na ubora wa juu.
Hii kusema laliga sio bora kwasababu timu ni 2 tu alafu mnasahau kwamba hizi timu mbili kwa misimu kadhaa sasa zimekua zikipokezana kikombe kinachotambulisha mabingwa wa ulaya nzima ni uvivu wa kufikiri.
Real na Baca zimekua katika ubora wajuu sana sio tu laliga bali ulaya nzima.
Sasa timu bora ulaya nzima zitaachaje kushinda vikombe kwenye ligi yao??
Na ukiwatoa hawa real na Baca, hembu angalia records za hawa wengine kutoka laliga kwenye michuano mingine ya ulaya alafu urudi tena.
Shabiki wa liver huyu.Asante mkuu kwa kumfahamisha huyo,anaonekana anakaza ubongo kwa mihemko ya kishabiki kuliko kiuhalisia.
Shabiki wa liver huyu.
Leo huwezi muona hapa jukwaani akija na ngonjera zake za EPL ni ligi bora kuliko La liga.
Kaufyata kimya.
acha kujidanganya epl dunia nzima bila mpunga huoni ligi hiyo inafutwa kama dhahabu nioo kwa nduguzo la liga wapo bure hata hapa bongoAsante mkuu kwa kumfahamisha huyo,anaonekana anakaza ubongo kwa mihemko ya kishabiki kuliko kiuhalisia.
LEO VALENCIA KALIMWA NGAPI NA ARSENAL ACHA UBISHI LALIGA NI TIMU TATU SIO LIGI NI TIMU TATU ZILIXODOMINATE UEFA KULINGANA HAWANA GAME NYING KAMA EPL KUNA FA CARABAO UEFA UEROPA WAO NI LALIGA NA UEFA/EL COPA DLAY YA WAWILITeam za England zote ni mbovu,ndio maana zikikutana zinasumbuana! Ni sawa na uwape vichaa wawili mpira wacheze,ni lazima watasumbuana sana,hapo ndio utaona kua viwango vyao vipo juu kisa wana sumbuana!?😛😛
nipe matokeo ya arsenal ndio uje na kujiteteaUpo sahihi kabsa
Ha ha haaa,ndio hapo sasakuweni wakweli jamani..hivi mechi ya alaves na levante unaweza linganisha na watford v crystal palace!?
Nitajie iyo nchi inayotazama la liga zaidi kuliko eplYani wewe unapima kutazamwa kwa Laliga kwa reference ya Tanzania?
Ufatiliaji wa ligi ni mazoea tu yaliyojijenga toka miaka ya nyuma, zipo nchi zinatazama laliga zaidi kuliko epl.
EPL is full of avarage players na ndio mana unaona kuna ushindani, ushindani hauletwi na ubora wa juu, ukisema ushindani wa timu moja kufunga nyingine ni kipimo cha ubora basi ligi ya bongo nayo ni bora kuliko laliga??
Man U anafungwa na Cristal Palace sio kwasababu Cristal Palace ni bora, ni kwasababu Man U ni mbovu, same applies kwa hizo timu nyingine. Unataka kuniambia Cristal Palace ataenda laliga akaisumbue Baca au Real Madrid pamoja na kiwango chake kibovu kwa sasa??
Kipimo pekee ni champions league na Europe league. Ndio mana ikaitwa ligi ya mabingwa. Inamana kwamba wenye uwezo wa juu katika kila ligi wanawakilisha ligi zao kwenye michuano kuona nani bora zaidi.
Hii mambo ya kuambiana kwamba timu yoyote inaifunga timu nyingine ndio ubora ni invalid kabisa. Hii ni ushindani, kushindana sio lazima muwe na ubora wa juu.
Hii kusema laliga sio bora kwasababu timu ni 2 tu alafu mnasahau kwamba hizi timu mbili kwa misimu kadhaa sasa zimekua zikipokezana kikombe kinachotambulisha mabingwa wa ulaya nzima ni uvivu wa kufikiri.
Real na Baca zimekua katika ubora wajuu sana sio tu laliga bali ulaya nzima.
Sasa timu bora ulaya nzima zitaachaje kushinda vikombe kwenye ligi yao??
Na ukiwatoa hawa real na Baca, hembu angalia records za hawa wengine kutoka laliga kwenye michuano mingine ya ulaya alafu urudi tena.
Hahahaaaaaaa.
Mnaruka ruka tu.
Kipimo cha ubora wa ligi za ulaya ni champions league tu. Hizi nyingine kelele.
Kipimo cha shule bora sio mitihani ya mhula ni National examination.
Huwezi jipima ubora kwa kujishindanisha wewe mwenyewe.
Go out there and show your quality.
Nchi za Latin America wanaangalia soka la Spain tu kwani wanaamini ndo unapochezwa mpira kitu ambacho ni kweli.kwanza legends wao ambao ndo legends wa mpira duniani wamecheza Spain na Italy siyo England.Nitajie iyo nchi inayotazama la liga zaidi kuliko epl
Wewe sijui unaishi dunia gani?!! unapima ubora wa ligi kwa game moja ya leo!!LEO VALENCIA KALIMWA NGAPI NA ARSENAL ACHA UBISHI LALIGA NI TIMU TATU SIO LIGI NI TIMU TATU ZILIXODOMINATE UEFA KULINGANA HAWANA GAME NYING KAMA EPL KUNA FA CARABAO UEFA UEROPA WAO NI LALIGA NA UEFA/EL COPA DLAY YA WAWILI
Hapo kwenye red,huwezi kubahatisha ukiwa umelala,u have to do something to win something,Wazungu hawaamini bahati,wanaamini juhudi na maarifa,haya mambo ya kuamini bahati ni mambo ya watu wavivu na masikini.Kwahyo kwa mtazamo wako ww Ajax akitokea kubahatisha kubeba CL basi ligi ya uholanzi ndo inakuwa ligi bora kwa msimu huu sio??
Hapo kwenye red,Kumbe unaongea kwa "Kuamini" tu?! i thought una fact zozote! kumbe ni imani tu!?Angalia sasa mnavyodanganyana nani kakwambia mimi shabiki wa Liverpool??Shida ni kwamba badala ya kudiscuss mada mnaanza kumjadili mtu mimi na ww tunajuana mkuu? kwahyo kwasababu nimepinga hoja yko basi ndo nakuwa shabiki wa Liver?mimi naongea ninacho amini mimi na ww unaongea unacho amini ww kwan ni lazima tukubaliane?? tujifunze kuheshimu mitazamo ya wengine! kufungwa liverpool mimi hakuniathiri chochote na wala haiprove mada yoyote humu!
Hapo kwenye red,huwezi kubahatisha ukiwa umelala,u have to do something to win something,Wazungu hawaamini bahati,wanaamini juhudi na maarifa,haya mambo ya kuamini bahati ni mambo ya watu uvivu na masikini.
Hapo kwenye red,Kumbe unaongea kwa "Kuamini" tu?! i thought una fact zozote! kumbe ni imani tu!?
Epl ndo league bora na sidhani kama itakuja kufunikwa,ila vilevile epl sio ligi ilyotoa mabingwa wengi wa europa na uefa..Pep Guardiola kaibadilisha sana EPL
1.Kaifanya Top 4 kuwa na thamani zaidi.
2.Kafanya alama 80+ kuwa chache kutwaa ubingwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hii mada nadhani ipo nje ya uwezo wako wa uelewa,nimegundua hilo,hoja zako ni nyepesi sana,kama lengo lako ni kujadili tu ili usisahaulike kama na wewe upo humu jf,it's okay,keep it up.Angalia ss unavyobadili mada nimekuuliza swali unashindwa kujibu, unaanza kuongea habari za wazungu na imani zao
Umetoka kuongea habari za wazungu wanachoamini alafu unarudi kuniuliza swali kama hilo upo sawa kweli ww??
Mkuu hii mada nadhani ipo nje ya uwezo wako wa uelewa,nimegundua hilo,hoja zako ni nyepesi sana,kama lengo lako ni kujadili tu ili usisahaulike kama na wewe upo humu jf,it's okay,keep it up.