Episode 2:Maajabu ya wanawake.

Episode 2:Maajabu ya wanawake.

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,336
Reaction score
10,896
Mpo wakuu!

Baada ya episode ya kwanza ku-trend mtandaoni nimeona niachia hit-post nyingine itakayoenda kumaliza ngebe za post ya kwanza. Kama mnavyonijua Joka jeusi mzee wa kutamba tambaa nimeona niwaachie kichupa kingine tena.

Mwanamke ndiye kiumbe pekee apendaye kudekezwa ijapokuwa yeye hapendi kudekeza. Hupenda kujiliza liza ili umbembeleze, mara ooh! Beibe kichwa kinauma ilhali hakiumi ilimradi tu umeambie pole laaziz wangu.

Mwanamke ndiye kiumbe pekee anayefurahia maumivu ya mtu mwingine hasa mtu ampendaye(mume wake) hasa yeye ndiye akiwa sababu ya maumivu hayo. Kwa mfano usijeukalogwa ukajifanya unahasira mbele ya mke wako kisa eti ulimpigia hakupokea, au kachelewa nyumbani, au umeona SMS tata kwenye simu yake. Jinsi unavyoonyesha hisia za kuumia na kumkasirikia ndivyo anavyofurahia moyoni mwake ingawa usoni ataigiza kama anaomba msamaha huku wakati mwingine akilia kabisa. Wanawake huona kufuatiliwa na kumtia mwanaume hasira ndio furaha yao na wao huhisi wanapendwa. Lakini hakuna pigo baya kwa mwanamke kama hutomfatilia(careless) kwa kweli hapo utakuwa umemuua.

Mwanamke huamini zaidi kile akisikiacho zaidi ya kile akionacho. Mwanamke unaweza muambia hii ni nyeusi wakati inayoonekana ni nyeupe. Mwanamke ni rahisi kukusamehe endapo amekufumania kwa macho yake na ukakataa kuwa hukufanya chochote kuliko asikufumanie lakini akuulize swali eti mume wangu unatoka na Mama X alafu ujibu ndio. My brother utaua kambi na hutaamini hata kama ni utani. Ndio maana mwanamke anaweza kwenye kioo akaonekana ni mbovu/mbaya lakini wewe kama mume ukimwambia ni mzuri na kapendeza basi yeye ataamini.

Mwanamke huona wivu hata kwa mwanaume asiye mpenzi wake. Kwa mfano mwanamke anaweza akakukuta unaongea na simu na mke/mchumba wako alafu uweke Loudspeaker asikie sauti ya mwenzake basi huweza kukusonya na kukuachia matusi bila sababu yoyote.

Mwanamke humuamini mwanaume mwenye maneno matamu na mwenye kuongea ongea zaidi ya mwanaume mkimya na asiye na maneno matamu.

Mwanamke akikuchekea muamini lakini akikulilia usimuamini. Mwanamke ni rahisi kuwa mwaminifu kwenye kicheko lakini si kwenye kulia. Ni rahisi kwa mwanamke ku-fake Kilio kuliko kicheko.
Ndio maana ukimuona mwanamke/mke wako anapenda kucheka cheka hovyo na vijana kuwa makini sana. Lakini kilio kwa mwanamke ni kama silaha tuu ya kujikinga/kujihami.

Mwanamke hukasirika kasirika bila sababu kama njia ya kuonyesha hajali au kukomoa. Ukiona mke wako anakasirika hovyo basi tambua kuwa anaigiza kutokukujali na anakupima kama nawe unajali au hujali. Ukiweza mpuuze ili umshe wivu wake. Usipompuuza atakupuuza wewe. Mbinu hii wanawake huitumia kama hapo nyumbani amekuja mtu asiyemkubali huenda ni mama mkwe au ndugu yako yeyote.

Mwanamke ndiye mwalimu atoaye majaribio mengi kwa siku kama mnaishi karibu lazima akujaribu zaidi ya mara tatu. Anaweza kukujaribu kwa utani, anaweza kukujaribu kwa mifano, anaweza kukujaribu kwa kukulinganisha na wengine, anaweza kukujaribu kwa kuigiza anaumwa. Mwanamke ndiye huuliza maswali mengi hata yasiyo na maana. Anaweza akakuambia; hivi bebi wewe unaweza kweli kupigana? Mara nyingi majaribio yao huhusu uwezo/mamlaka na upendo.
Na kupitia majaribio anayokupa ndio huweza kukuheshimu au kutokukuheshimu. Mwanamke hufurahia na kujiona salama endapo kila mara utakuwa unashinda majaribu yake. Kabla hajakujaribu tayari anakuwa na majibu yake. Hivyo mpe sawa sawa na majibu yake. Kama alikujaribu akadhani utamchapa makofi basi hakikisha unamchapa makofi. Mwanamke ndiye anayeandaa mark scheme ya mwanaume. Ohopa kumuangusha mwanamke kwenye majibu.

Mwanamke hupenda viungo vyake vyote kasoro kiungo chake kimoja ambacho ni cha siri aka Papuchi. Wanawake hawakipendi na wanakionea haya kiungo hicho kuliko kiungo chochote kile mwilini mwao.

Mwanamke anasauti nyingi. Ila sauti kuu ni tatu. Ukizijua hizo utajua akiongea uongo, akijisikia raha kwenye mapenzi, na akionyesha heshima.

Mwanamke anamiondoko mingi, ila mikuu ni mitatu. Akiwa kachoka ambapo hushika uso wake na kiuno. Akiwa anamood na amekufurahi hushika mikono yake na nywele. Na akiwa muoga ambapo huchezesha mikono yake na miguu.

Mwanamke hapendi pesa kama inavyoelezwa bali anapendwa uhakika na usalama hasa wa maisha yake. Mwanamke ni kama Paka. Kama usalama na uhakika wa maisha ni mdogo uhusiano na mwanamke huwa matatani.

Mwanamke hupenda uongo zaidi kuliko ukweli kwani hupenda utukufu zaidi na sifa hata zisizostahili.

Mwanamke anaasili ya udikteta, usipompelekesha wewe kama mwanaume. Atakupelekesha wewe kama mwanamke na utapata tabu sana.

Utafiti huu ni kwa hisani ya Joka mwenyewe niliyeongea na Hawa pale edeni.

JOKAJEUSI.
 
Asilimia ya hayo uliyoyaeleza ni kweli tu na nimeyashuhudia. Usipokuwa makini na nao utakufa siku kabla ya wakati wako.
 
nimewaza tu hivi vikwazo vya wazungu wanaoumia sana ni wanawake lakini ikifika wakati wa kura akinunuliwa dila tu kwishney


Mwanamke hapendi vitu vya vurugu ndio maana si rahisi kuwa mpinzani wa CCM. Ila siku wakiwa wapinzani huwa na upinzani halisi
 
Back
Top Bottom