hata mimi nawashangaa hawa walumendago.Kweli wana roho ngumu nadhani wanaipenda Pia cause kila siku wanasema kibonde kibonde lakini hawaachi kumsikiliza :smow:
Jamaa anapenda pia kujikomba kwa kina JK na CCM yaokibonde ni limbukeni penda sifa..
kwani mnasikiliza radio ya waathirika??
Hapo umenena mkuu sio lugha nzuri hii atiiJamani naomba tuwe tunatafakari kwanza kabla ya kuandika.Tujaribu ku-control emotions zetu na sio emotions zitu-control sisi. Ingekuwa vyema zaidi kujadili mada kuliko kuhusisha mada na personal affairs za mtu/watu (hata kama unachokiandika una uhakika nacho).Let's be assertive as it is among other things, a quality of a gentleman.
Si ajabu wakawa hawana hata huyo programme manager mwenyeweProgram manager wa clouds yuko usingizini tena mzito!
Ni mtu makini sana Seba maganga......Program manager wa clouds yuko usingizini tena mzito!
Huyu jamaa bogus tangu zamani, watu wa Upanga wanamjua tangu anaimbisha mchakamchaka Muhimbili hata hawawezi kushangaa kitu. Wasiomjua tu ndio wanaoweza kushangaa.
Lakini katika kila jamii kuna watu wanafurahia ukaragosi huu.
Halafu kesho mtangazaji katuni huyu huyu anataka kuwaambia watu jinsi ya kupiga kura.
I must say his rendition of "You picked a good time Fine time to leave me Lucille" was an embarassing guilty pleasure
http://www.youtube.com/watch?v=1GVr1l7Xbko
Hayo matusi yote ni kwa kuimba tu au mnatatizo lingine.tatizo binafsi la mtu mmoja lisilazimishe wote tuwe na mtazamo kama wako/wenu.mtu anaamua/anatenda kulingana na anavyoona inafaa regardless unakereka au unafurahi, ni kama nyinyi mliochangia huo ujinga wenu.mimi nilifikiri labda kuna problem nyingine kumbe ni hivyo tu.
Leo mada kubwa itakuwa hii issue maana jamaa ana bifu na JF sana tu