Paypal huwa naivuta into my Equity account, very simple. Yaani Paypal to Equity, hawa Equity walianza hiyo huduma kitambo na imekua ya msaada sana kwangu kila nikipokea malipo kupitia Paypal. Uzuri Equity wana matawi huko Tanzania.
Equity Bank
Japo kuna wadau wengi wanajidani kuwa wanafanya hiyo huduma ya Paypal to Mpesa, a simple Google search utawapata.