Enzi zetu wakati tunatongoza

Mademu walikua wanavaa sketi ndefu kama dera, ukimtongoza basi kama kuna nyasi atafyeka zote kwa vidole (utunzaji wa mazingira), Mademu wa siku hizi unatongoza linakuangalia usoni kama Jizi
Hahahaaa fyekelea mbaliiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…