Kuna mtu humu kawa vampire... Kwa wale wanaoangalia movies za mavampire nadhani huwa mnaona kuwa mtu aliyeathiriwa na VAMPIRE akifa anafukiwa na akifufuka ndio anakuwa VAMPIRE
Sasa kuna mtu kafufuka... Na ana hasira kwa wadada wa jf... Nionavyo mimi
Inasemekana wana Id mupyaWeraaaaaa!
Muda wao usha isha acheni na vijana wapokee kijiti sasa.
Ni sawa na kumkumbuka Ally Choki kwenye kipindi cha Christian Bella
Inasemekana wana Id mupya
Na mie piaWakija msisahau kuniita
Weraaaaaa!
Muda wao usha isha acheni na vijana wapokee kijiti sasa.
Ni sawa na kumkumbuka Ally Choki kwenye kipindi cha Christian Bella
Kila zama na kitabu chake!
Eeeh mla jana kalani tu
Hahaaa. Ndio hivyo rafiki leo wamekumbukwa Wahenga wenzio. TehAisee
YeahKila zama na kitabu chake!
Sana tuYeah
Nadhani wao watulie kama walivo tbings xime change
Hahah! Kipindi hicho nilikua haya majukwaa nayapita kama siyaoni vileHahaaa. Ndio hivyo rafiki leo wamekumbukwa Wahenga wenzio. Teh
Hahahaaa. Kama mie rafiki.Hahah! Kipindi hicho nilikua haya majukwaa nayapita kama siyaoni vilekweli mambo yanabadirika sana