Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
Songa huyu wa tamaduni muziki??Aisee labda tuitazame kwa jicho la tatu theory of evolution...!
Nadhani ni ukosefu wa muendelezo wa mazoezi ambao inachangiwa kwa kiasi kikubwa na changamoto za maisha tunayopitia.
Nilikuwa namskiliza songa enzi za utoto ghalfa nikauona Uzi huu.
Unamfahamu songa-(hip hop) msanii..?
Nasubir aniambie kamaliza lini la saba nikadirieAkikujibu unistue....
Mi nakadiria atakuwa form three.... umri nakuachia wewe ukadirie akigoma kujibu
kwa uwelewa wangu huu wa shule za kayumba nimekuelewa vizuri sanaKama unatumia app unaclick tu comment yako,upande wako wa kulia juu kabisa baada ya kuclick comment uliyokosea utakutana na vidoti flani vitatu,click hapo utakutana na neno la kwanza kabisa "moderate" ukichagua hiyo moderate utakutana na edit na delete.Na hapo ndo unaweza kufanya chochote kulingana na machaguo na mahitaji yako.
Shida ni moja,siko vizuri kabisa kwenye suala la kuelekeza sasa sijui kama tutakua tumeelewana
Nashukurukwa uwelewa wangu huu wa shule za kayumba nimekuelewa vizuri sana
Yes songa wa tamaduni music ana wimbo wake unaitwa Enzi za utoto.Songa huyu wa tamaduni muziki??
Na kweli ukosefu wa mazoezi ulifanya niachane na sarakasi,japo home napo mama jolie alikua anapiga vita walahi nikikutwa najikunja kunja napigwa mpaka najuta hahaha
Baadae nilikujaga kumsikia akijadili na wamama wenzie wanamwambia asikubali niendelee kuruka sarakasi itanipa shida badae kwenye suala la kuzaa,eti sitazaa.Sarakasi ni za wanaume waliendelea kukazia nikapigwa vita vikali,japo ni kitu nnachokipenda....
Hahaha ngoja niende youtube kwanza nikamsikilize songa.Yes songa wa tamaduni music ana wimbo wake unaitwa Enzi za utoto.
Songa-Enzi za utoto.
"Kumbuka ni kitambo kabla ya Mr nice na Takeu/
Zishakuja kesi nyingi nimem'toa mtu ngeu/
Nilikuwa situlii akija mgeni labda uniwekee movie ya Brucelee na Jack chan"
Elimu pia ya wazazi wetu katika masuala ya michezo na Mambo mengineyo yakuhusu vipaji ilikuwa ni ndogo/bado ndogo.
Jana baada ya mechi ya man united vs arsenal Super sport tulikuwa tunaangilia mabinti wakinyonga nyoga viungo(mashindano) kwa ustadi mkubwa ilikuwa burudani sana.
Hahaha kwa hiyo saizi unapata watoto..?
Nyinyi watoto inabidi mkiingia humu asubuhi muamkie baba zenu!Mkuu game la nyoka mimi nilikua nalionea sana yani simu ya mzee ilikua inanikoma
Kwani wewe hupati DELETE option?Alafu modos fanyeni maboresho kwenye upande wa kufuta comment kama umekosea... mnatufanya tunaonekana kama under 14 bhana
Hahah!! Sawa mkuuNyinyi watoto inabidi mkiingia humu asubuhi muamkie baba zenu!
Ayaaaa!!!kumbe bado upo upo kwanza,basi siku ukianza kutafuta watoto usimsahau Alisina,tunaweza leta akina Einstein na Isaac kwa awamu ya pili duniani,Hahaha ngoja niende youtube kwanza nikamsikilize songa.
Bado sijaanza kujaribu kutafuta watoto heheehebehe
Sasa hapo mbona utasubiri sana?Nasubir aniambie kamaliza lini la saba nikadirie
Snake [emoji216]Mkuu game la nyoka mimi nilikua nalionea sana yani simu ya mzee ilikua inanikoma
Kwahiyo utotoni mwako nyumbani mlikuwa na TV?Yes songa wa tamaduni music ana wimbo wake unaitwa Enzi za utoto.
Songa-Enzi za utoto.
"Kumbuka ni kitambo kabla ya Mr nice na Takeu/
Zishakuja kesi nyingi nimem'toa mtu ngeu/
Nilikuwa situlii akija mgeni labda uniwekee movie ya Brucelee na Jack chan"
Elimu pia ya wazazi wetu katika masuala ya michezo na Mambo mengineyo yakuhusu vipaji ilikuwa ni ndogo/bado ndogo.
Jana baada ya mechi ya man united vs arsenal Super sport tulikuwa tunaangilia mabinti wakinyonga nyoga viungo(mashindano) kwa ustadi mkubwa ilikuwa burudani sana.
Hahaha kwa hiyo saizi unapata watoto..?
Kwakweli huyu anapaswa kutuamkia....LOLSnake [emoji216]
Wewe si wa siku nyingi kabisa [emoji1]
Hahaha uweeeeeeeeeeeAyaaaa!!!kumbe bado upo upo kwanza,basi siku ukianza kutafuta watoto usimsahau Alisina,tunaweza leta akina Einstein na Isaac kwa awamu ya pili duniani,
Jolie Wa Jolie.!!
Kabisa kabisa game la nyoka [emoji2][emoji2]Kwakweli huyu anapaswa kutuamkia....LOL
Aje tu atoe jibu,au we niambie hizi simu za nokia zimeanza mwaka gani,then niassume wakati anacheza game alikua na 6Sasa hapo mbona utasubiri sana?
Vipi kwani kunatatizo Mkuu..?Kwahiyo utotoni mwako nyumbani mlikuwa na TV?