Enzi hizo

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Wanasayansi wa shirika la anga la Marekani (NASA) wakikokotoa hesabu nzito za mambo ya satellite orbits enzi hizo miaka ya 1950s kabla ya kuwepo kwa matumizi ya kompyuta kufanya hesabu kubwa kama ilivyo sasa.







Chanzo: History channel.
 
Enzi hizo Ukifanya mzaha tu kidogo kwenye ngazi unaweza vunja kiuno ila sasa ni mwendo wa ku click "Enter" tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…