kama huna la maana la kuzungumza kuna haja gani ya kuanzisha uzi?
ENDELEENI KUIMALIZA NCHI HII WATU WAKISEMA MAMBO YA UKWELI MNAYOYAFANYA KWA MANUFAA YA MATUMBO YENU WAKATI WATZ WENGI HAWANA UHAKIKA HATA WA MLO MMOJA MNASEMA SI MAMBO YA MAANA YA MAANA NI YAPI? Kupeleka watoto sekondari wakati hawajui kusoma na kuandika? Kumsifia mkwele? PUMBAVU.kama huna la maana la kuzungumza kuna haja gani ya kuanzisha uzi?
Tatizo wapinzani wanapinga kila kitu,
1.Tumepandisha gharama za maisha
2. Tumeongeza deni la taifa hadi Trilion 20
3.Tumeweza KUBORESHA elimu hadi watoto wanafika sekondari bila kujua kusoma
4. Mwaka huu kama hujaskia tumeweza kutumia matokeo ya mock ya darasa la saba kuchagua watoto wa kuingia sekondari.
ccm OYEEEEEEE!!!!!!!
kama huna la maana la kuzungumza kuna haja gani ya kuanzisha uzi?
He, mbona una kinywa kama cha muheshimiwa Lusinde Kibajaji?...
He, mbona una kinywa kama cha muheshimiwa Lusinde Kibajaji?...
nakumbuka kwenye thread moja uliniambia hupo mbele alipokuwa le mutuz kumbe mzaramo wa mbagala!!!au umerudi juzi?
Kaka sio Mbagala ni Msanga.