Environmental engineering

Jupa

Member
Joined
Oct 2, 2017
Posts
16
Reaction score
17
Wadau wa jf naomba msaada wa maelezo juu ya kozi ya environmental engineering inayotolewa ARDHI UNIVERSITY
Je hiyo kozi ni nzuri kwa kujiajiri?
 
inatofautiana vip na envromental science
 
Wadau wa jf naomba msaada wa maelezo juu ya kozi ya environmental engineering inayotolewa ARDHI UNIVERSITY
Je hiyo kozi ni nzuri kwa kujiajiri?
Ni moja ya kozi nzuri za uhandisi. Kama ulisoma walau PCM utaifurahia. Inajihusisha na mazingira kwa ujumla... Kuanzia manispaa mpaka kwenye viwanda.

Kazi yako kubwa itakua kwenye ujenzi wa miundo mbinu ya ukusanyaji taka kuanzia za maji mpaka taka ngumu...

Kwa kifupi... Inahusiana na jinsi gan tuta handle wastes bila kuhatarisha mazingira pia utapewa basics za ujenzi!!
 
Nashukuru sana kwa maelezo yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…