naomba niweke msisitizo hapa mkuu.Mkuu usiache hiyo kitu. Kotekote unapita.
Zipo nyingiNashukuru sana mkuu.
Vp kuhusu field zake
Environmental science nashani inadeal sana na chemistry....environmental engineering inadeal na chemiatry pamoja na constructioninatofautiana vip na envromental science
nzuri sana hiyoWadau wa jf naomba msaada wa maelezo juu ya kozi ya environmental engineering inayotolewa ARDHI UNIVERSITY
Je hiyo kozi ni nzuri kwa kujiajiri?
Ni moja ya kozi nzuri za uhandisi. Kama ulisoma walau PCM utaifurahia. Inajihusisha na mazingira kwa ujumla... Kuanzia manispaa mpaka kwenye viwanda.Wadau wa jf naomba msaada wa maelezo juu ya kozi ya environmental engineering inayotolewa ARDHI UNIVERSITY
Je hiyo kozi ni nzuri kwa kujiajiri?
Nashukuru sana kwa maelezo yako mkuuNi moja ya kozi nzuri za uhandisi. Kama ulisoma walau PCM utaifurahia. Inajihusisha na mazingira kwa ujumla... Kuanzia manispaa mpaka kwenye viwanda.
Kazi yako kubwa itakua kwenye ujenzi wa miundo mbinu ya ukusanyaji taka kuanzia za maji mpaka taka ngumu...
Kwa kifupi... Inahusiana na jinsi gan tuta handle wastes bila kuhatarisha mazingira pia utapewa basics za ujenzi!!
na mm ndo nilikuwa nauliza broMkuu unaweza kutoa ufafanuzi zaid?