Chenge naye akijenga Bunju, Lowassa akijenga Dodoma, Rostam akijenga Morogoro, Kikwete akijenga Bagamoyo, Ridhwani akijenga Mbeya na watu kama akina Mramba mkapa wote wakajenga bongo mbona mbona wanaweza kuurudisha moyo wangu nyuma hatua moja dhidi yao!!!!!