Kwa lugha na mawasiliano ya kawaida hakuna tofauti yote ni mashirika ya kibiashara japo enterprise wanakuwa wanalenga ujasiriamali zaidi (Innovation & Creativity),,, lakini walio wengi wanaandika tu kama majina ya biashara ili kutofautisha kadri mtu apendavyo mfano: Company ltd,,, Enterprise ltd,,, Investment Ltd,,,Venture ltd,,, n.k.