Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
- Thread starter
-
- #21
Zote nazipa your my number one.[emoji91][emoji91][emoji91]ongezea list mwenyewe
- I need you
- you sang to me
- am I the only one
- when I dream at night
- vivir mi vida
- I need to know
- Y Hubo Alguien
- Contra La Corriente
- No Me Ames
- e.t.c
Kuna kupande Whitney alipanda zaidi hadi jamaa akaacha kuimba na kumshangaa mwanamama.Sema humo alikimbizwa na Whitney Houston,yule Mama dah.(r.i.p)
Wahispanish hawa ni hatari, lakini Marc kwa Enrique atasubiri kidogo. Pia hana ngoma nyingi sana, na zile alizoimba kwa kispaniola naona levels zake bado ingawa anajua.enrique iglesia namweka daraja moja na marc anthony
πWote wanajitahidi...
Nani zaidi kwako...π
Wote wazuri⦠Enrique namba 1, Ed namba 2Nani zaidi kwako...
Ahsante Kwa muongozo...Wote wazuri⦠Enrique namba 1, Ed namba 2
Kwani mimi muimbaji π ? Au?
Unaweza usiwe muimbaji ila umewazidi sauti...Kwani mimi muimbaji π ? Au?
Enrique Legendβ¦
Ed yuko vizuri pia
ππππ ngoja nijaribu kuimba βyouβre my #1 nione kama natoboaβ¦Unaweza usiwe muimbaji ila umewazidi sauti...
Safi sana...ππππ ngoja nijaribu kuimba βyouβre my #1 nione kama natoboaβ¦
Soon tulia π€£π€£π€£πSafi sana...
Though nyimbo ngumu ila unatoboa...
Chagua voice note au videos call Niku judge...
Hero rahisi...
Za Ed zote rahisi ..
πππ Ahsante nimeona...Soon tulia π€£π€£π€£π
Zero ya ngapi? π€¦ββοΈπππ Ahsante nimeona...
π―Zero ya ngapi? π€¦ββοΈ
I scored zero ya mia? Au mia zote? ππ―
I scored zero ya mia? Au mia zote? π
I scored zero ya mia? Au mia zote? π