mkuu huogop kufungwa ww,,,mana unachfany cdhan kama kinaruhucwa kisheria,,,tena kibaya zaid unajitangaza hadharan,,,,
huyu bwana naona kichwani kuna shida,magereza inamtamani,
Mkuu huogop kufungwa ww,,,mana unachfany cdhan kama kinaruhucwa kisheria,,,tena kibaya zaid unajitangaza hadharan,,,,
1.Tunafunga madish ya vingamuz vyote Azam,Zuku,Star Times, DsTV nk.
2.Kwa wale wanaohitaj kuona mechi za mataifa ya Africa(AFCON) bila kulipia kwenye kingamuzi cha AZAM
3.Tunafunga channel za soka(mpira) usizolipia kwa mwez (yaan ni bure) EPL,LaLiga,Capital One, n.k
4.Tunafunga channel za CONTINENTAL yaan star Tv, Star Movies,Star Music,Star entertainment n.k (bila kulipia kwa mwezi) kwenye dish na king'amuzi cha AZAM
Kwa mawasiliano;
Mobile; 0686811173
Whatsapp; 0764453848
TAHADHARI; HUU SIO WIZI WALA UTAPELI
Jamaa yuko sahihi kingamuzi cha Azam ni cha free style unaweza kukitumia kushika channel nyingi za FTA
Channel za soka anazozisema hapo juu bila shaka ni zile za Irib,tv3, etc
Ambazo ni Encrypted lkn kwa BISS Keys ambazo ziko free mtandaoni cha msingi kingamuzi kiwe na uwezo huo wa kuingiza BISS Keys