Enjoy to the maximum

Remember that we all live once, God has given us a golden opportunity to live in this world. One day, one by one, we vanish. Enjoy to the maximum. Ni mtazamo tu.

We live every day, we only die once
 
Mkuu Mimi naweza kukuiga kama najua kazi yako na kipato chako. Halafu unambie ni wapi unajiachia to the maximum???
 
Mkuu Mimi naweza kukuiga kama najua kazi yako na kipato chako. Halafu unambie ni wapi unajiachia to the maximum???

Katika kiwanja chochote cha heshima. Kipato changu ni M1 na chenji kadhaa. Ulisema na kazi yangu?
 
Teh ngoja nimkumbushe kaka mito akutumie ile hela. Haya mambo ya kujibana na wakati hela ipo hayafai kabisa. Ukikipata kitumie hadi kiishe, kitapatikana kingine

Tatizo dadangu atoto hata umpe benk nzima bado hela haimtoshagi, so namtumiaga tu kutimiza wajibu wangu kwake
 
Last edited by a moderator:
Uchambuzi makini japo wenye chembe chembe ya vihatarishi!! Ungeweka onyo mwishoni kama ushauri!
 
Tatizo dadangu atoto hata umpe benk nzima bado hela haimtoshagi, so namtumiaga tu kutimiza wajibu wangu kwake

Mbona haujatuma sasa?
 
Last edited by a moderator:
Tatizo dadangu atoto hata umpe benk nzima bado hela haimtoshagi, so namtumiaga tu kutimiza wajibu wangu kwake

Mimi atoto akiingia kwenye anga zangu na akanikuta niko vizuri, nampa kadi ya benki anakuwa anajihonga mwenyewe. Mchawi mpe mtoto. ..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…