English premier league, epl special thread ..............!!!!!!!!!

PowerWithin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
645
Reaction score
501
Hi wapenzi wote wa soka!!!!
hasa wa Barclays Primier League maarufu kama English Primier League. Hii ni special thread ya ligi nzima sio ya club ni ya timu zote zinasoshiriki ligi kuu ya uingereza. Thread hii ni muhimu sana kuangalia muenendo mzima wa ligi kuu ya uingereza kwa ujumla wake. Ubingwa, usajili na mengine mengi yanayotokea kwenye ligi ya Barclays

Ok kama hivyo ngoja tuone sekeseke la final touches za Chelsea, Liverpool, Manchester City na club zingine zinazowania top four na zinazong'ang'ania kubaki kwenye ligi kuu hususan Sunderland. Mashabiki wa Man U kazi ni kuuuuubwa; anyway keep fighting guys

Hapa chini ni mechi zilizosalia kwa kila timu ili kukamilisha mzunguko mzima wa EPL 2013/2014. Ubingwa upo mikononi mwa Chelsea, Liverpool ama Mnachester City.......kaaaaaaaazi kwelikweli. Chelsea wana mechi mbili za UCL kati yake na Atletico Madrid.

CHELSEA VS
-----19/4/14 Sunderland

------22/4/14 Atletico Madrid ----UCL

------27/4/14 Liverpool

------29/4/14 Atletico Madrid -----UCL

------4/5/14 Norwich City

------11/5/14 Cardiff City


LIVERPOOL VS
------20/4/14 Norwich City

------27/4/14 Chelsea

------5/5/14 Crystal Palace

------11/5/14 Newcastle United


MANCHESTER CITY VS
--------21/4/14 West Brom

--------27/4/14 Crystal Palace

-------- 3/5/14 Everton

--------7/5/14 Aston Villa

--------11/5/14 West Ham

Karibuni wazee wa kubet na wanazi wote wa soka la EPL!!!!!!!!!!
Hii hakika ni final touch. One Mistake 2013/14 EPL Championship loose!!!!!!
 
Niliwahi kutoa maoni kuhusu hii kitu. Nilishauri kuwe na:

1. La liga special thread
2. Epl special thread
3. Serie a special thread
4 bundasliga.
Sikupata hata post 1 iliyounga mkona au hata kupinga.
 
Epl inaweza kuhit lakini ligi zingne sidhani we angalia thread za clubs nje ya Epl yalivododa. Hili jukwaa naamini litavuma tu na labda cha kuongezea tufungue na thread ya ucl/uefa champion league.
 
Niliwahi kutoa maoni kuhusu hii kitu. Nilishauri kuwe na:

1. La liga special thread
2. Epl special thread
3. Serie a special thread
4 bundasliga.
Sikupata hata post 1 iliyounga mkona au hata kupinga.

Nimeona nianzishe hii epl maana naona zimeanzishwa za clubs tu.......waweza anzisha ya la liga i guess itakuwa vema sana! unajua mashabiki wengine ni swing fans hawana mzuka na timu yeyote but soka tu. Hata hivyo sio vema eti uzi wa chelsea unazungumzia mambo ya anfiel, thus why kuna kila haja ya kuwa na nyuzi specific kwa ligi na sio timu.
 
Epl inaweza kuhit lakini ligi zingne sidhani we angalia thread za clubs nje ya Epl yalivododa. Hili jukwaa naamini litavuma tu na labda cha kuongezea tufungue na thread ya ucl/uefa champion league.

Naunga mkono comment!!
 
Niliwahi kutoa maoni kuhusu hii kitu. Nilishauri kuwe na:

1. La liga special thread
2. Epl special thread
3. Serie a special thread
4 bundasliga.
Sikupata hata post 1 iliyounga mkona au hata kupinga.

Ungeanzisha na kuweka nyama za kutosha hakika usingekosa mchangiaji.

Tatizo lingine kuna special thread za timu kubwa kubwa balani ulaya na mechi zinazowahusu zinajadiliwa huko.

Sidhani kama kuna mtu atakuja kujadili mechi ya Cardiff na norwich.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…