English conversation club

neophyte

Member
Joined
Oct 21, 2018
Posts
79
Reaction score
22
ENGLISH CONVERSATION
kwa wale wote ambao wana shida katika kubonga kizungu tukutane hapo ndani kwa kubonya hio link hapo juu.
*unapaswa kukamilisha usajili wako ili kujua uwezo wako ulio nao katika kuzungumza english. kwa kuwa kila mmoja anauwezo wake hivyo kwa kufaham uwezo wako kuta rahisisha namna ya kukusaidia ili uweze kuimarika katika lugha

*muda wa kuanza masomo
masomo yataanza baada ya kukamilisha usajili. masomo yana anza saa tatu usiku mpaka saa nne.

*mfumo wa malipo
ada ni shilingi 5000 kwa wiki na malipo hufanywa kupitia M-PESA 0769103506
Na NMB ACC 22810002991.
Baada ya kufanya malipo utatuma picha ya uthibitosho wa malipo yako. kisha tuta endelea na utaratibu wetu.

kwa mawasiliano zaidi
piga simu 0769103506
email mahugijafar@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…