England national team special thread

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
3,055
Reaction score
2,154
Mwenye nafasi achek eng u 20 v egy u 20 now live.Egypt wako saf sn mpaka muda huu game wameitawala vzr.

My take:Km egypt wana u 20 nzuri hivi baada ya miaka michache watarudisha timu ya taifa nzuri sn.Sisi tz tunaelekea wapi?tuwekeze kwa vijana ndio njia pekee ya kuja kufanikiwa ktk soccer.
Nawasirisha
 
Title ni england but the main body is egypt.Si unajua elimu zetu hizi?mm na mulugo vilevile.Umenielewa?
 
Sidhani kama huu uzi unapaswa kuitwa "special thread" kwa ajili ya timu ya taifa ya Uingereza au Misri...
 
Sidhani kama huu uzi unapaswa kuitwa "special thread" kwa ajili ya timu ya taifa ya Uingereza au Misri...

Nimesoma na mulugo sasa shida hiko wapi??
 
egypt take the lead through trezeguet in 79'engl now r in trouble with 10 minutes to go
 
Waingereza hawana timu,ni makelele ya vyombo vya habari tu....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…