Civil??????? Wakati Kazi Zote Wanapewa Wachina... Barabara! Majengo! and.......Wakuu , comment kozi yoyote ya engineering unayoikubali sana.
Mimi ni Civil Engineering.
Nawasilisha
hahahaaaa engineering zote ni nzuri,inategemea na uwezo binafsi kwa field kama ya computer engineering u can make money,just kujituma na kuwa na maskills mengi mengi...otherwise ukiajiriwa salary grades hazipishaniCivil??????? Wakati Kazi Zote Wanapewa Wachina... Barabara! Majengo! and.......
Aerospace EngineeringWakuu , comment kozi yoyote ya engineering unayoikubali sana.
Mimi ni Civil Engineering.
Nawasilisha
Kula tano!Computer huniambii kitu.......second Mechanicla huniambii lolote!
Hahahaha.....sema Computer inahitaji moyo wa kishujaa........kufumba na kufumbua watu wapo sayari ya Mars wewe umeachwa sayari ya Dunia, huu ndio mtihani wake mkubwa sana unaowashinda wengi!Kula tano!










