We endelea ku apply kozi zinazoanzishwa kwa mihemko ya kisiasa uje ujute badae. Uliza peteolium engineering kinachowakuta kwa sasa.Naombaa ushauri kuhusu engineering nzuri za kuapply kwa sasa ? Na mwenye ujuzi juu ya soko Biomedical engineering and aircraft maintenance engineering nchini?
Hapo ndo unasikia iga ufeWe endelea ku apply kozi zinazoanzishwa kwa mihemko ya kisiasa uje ujute badae. Uliza peteolium engineering kinachowakuta kwa sasa.
Tena kama petroleum usijarb ata kuapply ni balaa huk kitaanWe endelea ku apply kozi zinazoanzishwa kwa mihemko ya kisiasa uje ujute badae. Uliza peteolium engineering kinachowakuta kwa sasa.