Ingekua mimi ndio wewe, ningeifanyia modifications moja matata sana hiyo chuma kwa kuweka Ingine ya Nissan SR20DET ambayo ni familia ya SR engine kutoka Nissan. Ni injini maarufu ya silinda nne inayotumika kwenye Nissan Silvia na 180SX, na pia katika Pulsar GTI-R, Nissan NX Coupe na Nissan Bluebird.