Sophist Platinum Member Joined Mar 26, 2009 Posts 4,486 Reaction score 3,411 Jan 9, 2017 #1 Engine ya gari model TD42 pamoja na gear box yake inauzwa. Kwa anayehitaji tuwasiliane kupitia simu #: 0674 476 279
Engine ya gari model TD42 pamoja na gear box yake inauzwa. Kwa anayehitaji tuwasiliane kupitia simu #: 0674 476 279
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,732 Reaction score 6,631 Jan 9, 2017 #2 Sophist said: Engine ya gari model TD42 pamoja na gear box yake inauzwa. Kwa anayehitaji tuwasiliane kupitia simu #: 0674 476 279 Click to expand... Hua inafungwa kwenye gari gani?
Sophist said: Engine ya gari model TD42 pamoja na gear box yake inauzwa. Kwa anayehitaji tuwasiliane kupitia simu #: 0674 476 279 Click to expand... Hua inafungwa kwenye gari gani?
Sophist Platinum Member Joined Mar 26, 2009 Posts 4,486 Reaction score 3,411 Jan 9, 2017 Thread starter #3 Jephta2003 said: Hua inafungwa kwenye gari gani? Click to expand... Land cruiser station wagon (shangingi) au Nissan Safari/Patrol
Jephta2003 said: Hua inafungwa kwenye gari gani? Click to expand... Land cruiser station wagon (shangingi) au Nissan Safari/Patrol
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,972 Reaction score 30,154 Jan 9, 2017 #4 Sophist said: Land cruiser station wagon (shangingi) au Nissan Safari/Patrol Click to expand... TD 42 ni kwa magari jamii ya Nissan, labda Nissan Civilian na Nissan Patrol. Land Cruiser utakua unalazimisha tu Mkuu
Sophist said: Land cruiser station wagon (shangingi) au Nissan Safari/Patrol Click to expand... TD 42 ni kwa magari jamii ya Nissan, labda Nissan Civilian na Nissan Patrol. Land Cruiser utakua unalazimisha tu Mkuu
Sophist Platinum Member Joined Mar 26, 2009 Posts 4,486 Reaction score 3,411 Jan 9, 2017 Thread starter #5 Shark said: TD 42 ni kwa magari jamii ya Nissan, labda Nissan Civilian na Nissan Patrol. Land Cruiser utakua unalazimisha tu Mkuu Click to expand... Ahsante kwa ushauri na taarifa. Mimi siyo fundi lakini nilifuatilia land cruisers zilizonunuliwa na serikali mwaka 1996 kwa ajili ya mawaziri zilikuwa zimefungwa engine aina hiyo.
Shark said: TD 42 ni kwa magari jamii ya Nissan, labda Nissan Civilian na Nissan Patrol. Land Cruiser utakua unalazimisha tu Mkuu Click to expand... Ahsante kwa ushauri na taarifa. Mimi siyo fundi lakini nilifuatilia land cruisers zilizonunuliwa na serikali mwaka 1996 kwa ajili ya mawaziri zilikuwa zimefungwa engine aina hiyo.
P puto Senior Member Joined Mar 12, 2012 Posts 127 Reaction score 96 Jan 13, 2017 #6 Mkuu shark samahani mie nataka ushauri wa kubadilisha gearbox za landcruiser zenye engine aina ya HDT.
Mkuu shark samahani mie nataka ushauri wa kubadilisha gearbox za landcruiser zenye engine aina ya HDT.